Share

Wazazi watakiwa kupunguza matumizi ya simu za mkononi

Share This:

Wazazi watakiwa kupunguza matumizi ya simu za mkononi

Watoto wa Hamburg, Ujerumani wameandamana kupinga hatua ya wazazi wao kutumia zaidi simu za mkononi, na badala yake wamewataka watumie muda huo kucheza nao. Papo kwa Papo 14.08.2018

Leave a Comment