Share

WAZEE WA MILA WAMTAKA NASSARI AOMBE RADHI, WATOA ONYO ASIPOOMBA

Share This:

Wazee wa mila maarufu kama washili wilayani Arumeru wamekutana kwa pamoja nakutoa tamko ambapo wamekubaliana na uamuzi wa spika wakumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari huku wakimtaka awaombe radhi la sivyo ataharibikiwa

Leave a Comment