Share

Waziri awahakikishia Wakenya usalama siku ya uchaguzi

Share This:

Kaimu waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiangi amesema Wakenya hawapaswi kuwa na wasiwasi wakati wanapoelekea kuwachagua viongozi wapya.

Leave a Comment