Share

WAZIRI KABUDI ALIVYOTANGAZWA, MWENYEKITI MPYA BARAZA LA MAWAZIRI SADC

Share This:

Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi Prof Paramagamba Kabudi leo ametangazwa Rasmi kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza la mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) Baada ya kutangazwa ameongea pia na waandishi wa Habari.

Leave a Comment