Share

Waziri Kigwangalla leo Bungeni, ni kuhusu wanaume wasiofanya tohara

Share This:

Naibu Waziri wa Afya Dr Hamisi Kigwangalla alisimama Bungeni leo kutolea ufafanuzi baada ya maswali ya Gandhi ya wabunge waliotaka kujua madhara yanayoweza kutokea kwa wanaume wasiofanyiwa tohara

Leave a Comment