Share

Waziri Kigwangalla: Nilikataa mabadiliko ya Mo /Anataka kutununua?

Share This:

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema yeye ni mmoja kati ya wanachama wa Simba ambao walikuwa wanakataa mabadiliko ya klabu lakini baada ya kuona mchangato wa mabadiliko hayo na nia thabiti akaona aunge mkono kwa kuwa ni jambo jema kabisa.

Leave a Comment