Share

Waziri Mbarawa alivyomtimua Mtaalamu kwa kutoonekana site

Share This:

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amefumkuza Mtaalamu wa miamba Amiri Msangi ambaye amekataa kukaa katika eneo alilopangiwa kwa ajili ya kujifunza teknolojia ya miamba nakuagiza katibu mkuu amrudishe wizarani

Leave a Comment