Share

Waziri Mhe.Biteko aagiza kufutwa kwa leseni 159 za madini

Share This:

Waziri wa madini Mheshimiwa Dotto Biteko amemuagiza kamishina wa tume ya madini ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kuchukua hatua ya kufuta jumla ya leseni 159 za uchimbaji wa madini zilizotolewa kwa walioomba kuchimba madini aina mbalimbali yanayopatikana mkoani Kagera ambao wamekuwa wakitumia migongo ya leseni hizo kuomba maeneo ya uchimbaji wa madini na baadae kuyatelekeza bila ya kuyaendeleza.

Leave a Comment