Share

Waziri Mkuu Aeleza Mikakati Ya Kukuza Kilimo Nchini

Share This:

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kilimo ili kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija.

Leave a Comment