Share

Waziri Mkuu Akagua Ujenzi Wa Gati Mkoani Lindi

Share This:

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua ujenzi wa Gati mkoani Lindi na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo.

Leave a Comment