Share

Waziri Mkuu baada ya kupokea taarifa ya Loliondo

Share This:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo April 20 2017 amepokea taarifa ya kamati Shirikishi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ya kushughulikia mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye pori tengefu la Loliondo mkoani Arusha, ambapo atatoa maelekezo baada ya kuisoma.

Leave a Comment