Share

Waziri mkuu Majaliwa asema Tanzania haina haja ya kuuza pamba nje

Share This:

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Jumamosi hii ametembelea viwanda viwili vilivyochini ya kampuni ya Namera Group of Industries inayomiliki viwanda vya Namera na NIDA, ambapo ameridhishwa na uwekezaji uliofanywa na uongozi wa kampuni hiyo.

Leave a Comment