Share

Waziri mkuu mpya wa Congo afanya mazungumzo ya kuunda Serikali

Share This:

Rais wa Marekani Donald Trump abadilisha mtizamo wake kuhusu NATO akiitaja ngao ya amani na usalama. Polisi Ujerumani yasema aliyekamatwa kuhusiana na shambulizi la Dortmund siye aliyeshambulia basi la timu hiyo. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma asema hatiwi wasiwasi na maandamano ya kumtaka ajiuzulu na Waziri mkuu mpya wa DRC afanya mazungumzo ya kuunda Serikali.

Leave a Comment