Share

WAZIRI MKUU “NAONDOKA NAYO MNIOMBEE NIIBEBE ISIJE KUDONDOKA “

Share This:

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Magufuli katika miaka 10 ya kanisa la TAG ambapo amekabidhiwa zawadi maalumu kwa ajili ya Rais Magufuli ambapo amesema serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini

Leave a Comment