Share

Waziri Mkuu wa Israel afunguliwa mashitaka kwa tuhuma za rushwa

Share This:

Benjamin Netanyahu amekuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Israel kufunguliwa mashitaka akiwa madarakani, kwa tuhuma za kuhusika na rushwa. Mwenyewe lakini anabisha na kusema hiyo ni njama ya mapinduzi dhidi yake na hatong’atuka.

Leave a Comment