Share

Waziri Mpina kaanza na MNADA wa ng’ombe zaidi ya 1,000 kutoka Kenya

Share This:

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ametoa agizo la kupigwa mnada ng’ombe zaidi ya 1,325 wanaodaiwa kuwa wametoka Kenya na kuingizwa Tanzania kinyume cha sheria.

Ameeleza kuwa Sheria yetu ya mifugo ya mwaka 2003 inazuia uingizwaji wa mifugo nchini kutoka nchi nyingine lengo kuu ikiwa ni kuzuia maradhi ya mifugo na kuleta madhara mengine.

Leave a Comment