Share

Waziri Mwakyembe alipoulizwa swali kuwa yeye ni mtaalam wa sheria vipi kuhusu michezo

Share This:

March 25 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa kirafiki uliyopo katika kalenda ya FIFA dhidi ya timu ya taifa ya Botswana na kufanikiwa kushinda kwa goli 2-0, magoli yakifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 2 na 87. Katika mchezo huo ulihudhuriwa pia na waziri mpya wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe ambaye ana siku mbili toka ateuliwa kuongoza wizara hiyo, Dr Mwakyembe yeye ni mwanasheria kitaaluma vipi kuhusu kuifahamu michezo?

Leave a Comment