Share

Waziri Ummy Mwalimu alivyojichanganya na mashabiki kuishangilia Coastal Union leo

Share This:

Coastal Union leo wakiwa katika uwanja wao Mkwakwani Tanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, hivyo safari yao ya kurejea Ligi Kuu wameiweka vizuri, ukiachana na matokeo hayo kivutio kilikuwa ni waziri wa afya Ummy Mwalimu ambaye ameonesha dhamira ya dhati ya kutaka timu yake ya Coastal Union irudi Ligi Kuu na alikuwa uwanjani kushangilia na watu wengine kama mtu wa kawaida hivi ndivyo ilivyokuwa.

Leave a Comment