Share

Waziri Ummy Mwalimu alivyoshangazwa na Madaktari Bingwa wa moyo Dodoma

Share This:

February 12, 2019 Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alizindua rasmi maabara rasmi ya kufanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo ikiwemo kuzibua mishipa ya damu katika Hospitali kuu ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma lengo likiwa ni kuwawezesha wananchi kupata huduma hiyo ndani ya nchi kwa gharama nafuu.

Leave a Comment