Share

WCB wanasema wamekodi mjengo, Dalali anasema wanenunua

Share This:

Kumezuka sitofahamu juu ya mjengo mpya ambao WCB wametuambulisha kama ni makao makuu huku mmoja kati ya mameneja wa label hiyo, Mkubwa Fella kudai mjengo wa ofisi hiyo wameukodi na hawajainunua. Baada ya siku mmoja aliibuka dalali anayedaiwa kuwa ni dadali wa Diamond na kuibuka kwa kusema kwamba nyumba hiyo, Diamond ameinunua.

Leave a Comment