Share

Wema kuolewa na Diamond?, pia ajibu kuhamishia show yake Wasafi TV

Share This:

Msanii wa Filamu Bongo, Wema amejibu tetesi kuwa yupo mbioni kufunga ndoa na msanii wa muziki Diamond, pia amezungumzia kuhusu kuhamishia kipindi chake ‘My Shoes’ Wasafi TV.

Leave a Comment