Share

Wema Sepetu aachwa solemba Mahakamani

Share This:

Wema Sepetu alikuwa ni Malkia alikuwa akifuatwa na mashabiki wake kede kede katika Mahakama ya Kisutu ila kwasasa si kama zamani. Mrembo huyo kwasasa ameonekana akiwa na watu wachache tofauti na Awali ilivyokuwa.

Leave a Comment