Share

Wema Sepetu atoa kauli kutokana na mwenendo wa kesi yake

Share This:

Kesi inayomkabili malkia wa filamu Wema Sepetu ya kutumia dawa za kulevya imeendelea kuunguma Jumatatu hii katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam ambapo upande wa mashtaka uliendelea kutoa ushahidi kupitia mashahidi wake wawili wa mwisho mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba.

Leave a Comment