Share

WhatsApp ilivyookoa maisha ya Mama Mjamzito Lindi

Share This:

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amefanya ziara yake ya Kikazi Mwanza, ambapo pamoja na shughuli zake za Kikazi amesema tayari Wizara yake imeunda Group la WhatsApp litakalo jumuisha Waganga Wakuu wa Mikoa kusaidia kupata Taarifa za Wagonjwa upesi.

Leave a Comment