Share

Willy Paul azungumzia uhusiano na Alaine, kuhamasishwa na Diamond, bifu na Bahati

Share This:

Msanii wa Kenya, Willy Paul amezungumzia kufanya kazi na msanii wa Jamaica, Alaine. Tumemuuliza kama uhusiano ni zaidi ya kufanya muziki na jibu lake lina utata. Amezungumzia ustaa wake wenye skendo za hapa na pale, sababu zilizomfanya amchukulia Diamond role model wake, bifu yake na msanii Bahati na mengine

Leave a Comment