Share

WIZARA YA AFYA HAIJAISAHAU GEITA , IMETANGAZA GOOD NEWS

Share This:

Serikal kupitia wizara ya Afya imetangaza kujenga hospitali ya rufaa ya kikanda mkoani Geita ili kupunguza msongamano katika hospital ya rufaa ya kanda ya Mwanza

Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu amesema kanda ya ziwa inakadiriwa kuwa na watu million 13.4 “Hospitali hii lazima tuvutie wagonjwa kutoka Kongo,Burundi na Rwanda na tunataka kuifanya Geita Kuwa kituo cha Utalii wa matibabu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania” WAZIRI UMMY

Leave a Comment