Share

Wolper A-Z alivyotimuliwa kwao kisa kuuzaa sabuni Kariakoo

Share This:

Malkia wa filamu, Jack Wolper amefunguka kuzungumzia namna alivyofukuzwa kwao baada ya kuamua kwenda kuuza sabuni Kariakoo. Muigizaji huyo amedai wazazi wake waliona anaidhalilisha familia yao.

Leave a Comment