Share

WOLPER: “Sina wivu, nimemualika Harmonize na Mpenzi wake kwenye party yangu”

Share This:

Muigizaji Jacqueline Wolper amezungumza kwenye Exclusive Interview na kuelezea kuhusu Birthday Part yake itakayofanyika siku ya Nov 7, 2017 amabapo katika shere hizo amemualika mpenzi wake wazamani Harmonize…”SARA awerafiki yangu nimpe nyendo zakuchepuka za Harmonize”

Leave a Comment