Share

Wunderland Hamburg: Dunia katika chumba kimoja

Share This:

Mjini Hamburg Kaskazini mwa Ujerumani, kuna kituo kiitwacho Wunderland, maana yake, Nchi ya Maajabu, ambako unaweza kuona kupitia njia za kitaalamu, sehemu nyingi maarufu za dunia kama vile umefika mahali penyewe. Katika video hii hapa chini, Sudi Mnette aliyekitembelea kituo hicho, anakupasha zaidi.#Kurunzi

Leave a Comment