Share

Yakufahamu kutoka TRA kama utashinda ktk michezo ya kubahatisha

Share This:

Baada ya TRA kukabidhiwa jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha kuanzia July mwaka huu, leo September 13 2017 kupitia kwa mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo amesema washindi wa michezo ya kubahatisha wafahamu kuwa mshindi katika bahati nasibu atakatwa asilimia 18 ya kiasi alichoshinda na kuwasilishwa TRA na mchezeshaji wa bahati nasibu hiyo.

Leave a Comment