Share

Yanga yaizidi dau Simba SC udhamini wa SportPesa

Share This:

KLABU ya Yanga imevuna dau zaidi ya mahasimu wao, Simba SC katika udhamini wa kampuni ya SportPesa.
Wakati wiki iliyopita SportPesa ilitangaza kuingia mkataba wa miaka mitano na Simba kwa dau la Sh. Bilioni 4.96, leo imeingia mkataba wa kuidhamini Yanga kwa Sh. Bilioni 5 kwa kwa miaka hiyo hiyo mitano.

Leave a Comment