Share

Yvonne Chaka Chaka amfagilia Nyerere kwenye wimbo wa kiswahili

Share This:

Yvonne Chaka Chaka amewashangaza watu kwa kumsifia Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere kwenye wimbo wake alioimba kwa lugha ya kiswahili tena kwa ufasaha mkubwa zaidi.

Leave a Comment