Share

Zaidi ya Mitumbwi 50 na nyavu za kuvulia Samaki zateketezwa mkoani Morogoro.

Share This:

Mkuu wa wilya ya Morogoro Bi, Regina Chonjo akiambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ameteketeza mitumbwi zaidi ya 50 na nyavu za kuvulia samaki zipatazo 200 zilizokuwa zikitumika kwenye bwawa la Mindu baada ya wavuvi hao kukaidi amri ya kuacha shughuli hizo ambazo zimekuwa zikisababisha uchafuzi wa maji yanayotumiwa na wakazi wa manispaa ya Morogoro.

Leave a Comment