Share

“Zanzibar imeendelea kusahaulika” -Jamal

Share This:

Mbunge wa Magomeni Zanzibar Jamal Kassim Ali alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma mwisho wa wiki hii na kuitaka Serikali kurekebisha mfumo wake wa ukusanyaji kodi za mapato kwenye kampuni zenye matawi Zanzibar

Leave a Comment