Share

Zari All White Party Vs Girls Power: Mobetto afunguka haya Uganda

Share This:

Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege alipowasili.

Wakati hasimu wake, Zari akitarajia kufanya event yake ya Zari All White Party nchini huko Uganda December 21 mwaka huu, siku hiyohiyo Hamisa naye amealikwa kwenye tamasha la Girls Power ambalo litafanyika siku moja na party ya Zari, jambo ambalo linavuta hisia za wadau na wapenzi wengi wa burudani.

Leave a Comment