Share

Zari na Hamisa wote nafanya nao / Diamond na Alikiba pia ni wangu – Noel

Share This:

Mbunifu wa mavazi Bongo, Noel amesema licha ya Zari na Hamisa kutoelewana yeye anafanya kazi na wote kwani anachojali ni biashara yake na mambo ya timu kwake hayana nafasi.

Leave a Comment