Share

Zawadi ya Irene Uwoya kwa mume wake Dogo Janja

Share This:

Penzi kati ya muigizaji Irene Uwoya na staa wa muziki wa Bongofleva Dogo Janja linaonekana kuzidi kupamba moto baada ya wawili hao kuamua kuweka mapenzi yao hadharani na kutokujaliwa wanaowakosoa kwa kupishana kwao umri, Irene Uwoya azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake Dogo Janja baada ya kuamua kuchora tattoo katika mwili wake nakuandika Abdul ambalo ni jina halisi la mume wake Dogo Janja.

Leave a Comment