Share

Zungu la Unga lanaswa Dar, Watu 3000 wakamatwa na heroin kilo 30

Share This:

Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imeukamata mtandao wa wakuuza dawa za kulevya ukiwa na kilo nane za Heroin pamoja na mtandao wake wote. Akiongea na waandishi wa habariJumatatu hii jijini Dar es Salaam, Kamishina wa kupambana na Dawa za Kulevya amedai kwa kipindi cha miezi 6 wamewakamata watu zaidi ya 3000 pamoja na kilo 30 za dawa za kulevya aina ya heroin.

Leave a Comment