Share

ACT Wazalendo, kutoa msimamo kuhusu nafasi ya makamu wa rais na mawaziri Zanzibar

Share This:

Katika Dira ya Dunia, Alhamisi 19th Novemba , 2020
• Watu 28 wathibitishwa kufariki, na wengine 65 kujeruhiwa vibaya katika maandamano yaliyofanyika jana baada ya kukamatwa kwa Bobi Wine.

• Chama cha upinzani ACT Wazalendo, chasema kitatoa msimamo wake kuhusiana na nafasi ya makamu wa kwanza wa rais pamoja na mawaziri ambao wanapaswa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Visiwani Zanzibar.

• Washukiwa wengine wanne wafikishwa mahakamani nchini Kenya kwa tuhuma za ulanguzi wa watoto baada ya ufichuzi wa BBC.

• Na hii leo ulimwengu unaadhimisha siku ya choo duniani. Lakini je, kila mtu anafurahia kwenda choo?

Tuwe pamoja kuanzia hapo saa kumi na mbili unusu jioni, mimi ni Ronclifee Odit mwenzangu ni Lynace Mwashighadi

#DirayaDunia
#ACTWazalendo
#MaalimSeifShaarif

Leave a Comment