Share

Adha ya mvua Dar es Salaam

Share This:

Mvua kidogo tu na mji mkuu wa kibiashara wa Tanzania, Dar es Salaam unazidiwa na wingi wa maji na kusababisha mafuriko.

Mwandishi wetu Yakub Talib ametembelea maeneo ya mji huo na kukutana na wakaazi walioathirika na mvua zinazoendelea kunyesha.

Leave a Comment