Share

AFRIKA KUSINI KUMEMPONZA BOBAN NA WENZAKE, WAHUKUMIWA MIEZI 6 JELA

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu raia 30 wa Tanzania kwenda jela 18 jela ama kulipa faini ya Sh.Laki Tatu baada ya kukiri makosa ya kuzamia kwenda nchini Afrika Kusini.

Hukumu hiyo imetolewa kwa makundi mawili tofauti ambapo kundi la kwanza likiwa na raia 14 na jingine raia 16 ambapo pia wamesomewa adhabu kwa mahakamu tofauti.

Leave a Comment