Share

Ajuza wa miaka 78 atumia michoro kutunza historia ya Kongo

Share This:

Umri wake ni miaka 78, ambao kwa wengi huwa sio tena wa kujishughulisha na chochote, lakini moyo wa msanii ndani yake unamfanya asiweze kutulia na badala yake atumie michoro kutunza historia ya nchi yake ya Kongo. Benjamin Kasembe anasimulia jiitihada za bibi huyu.

Leave a Comment