Share

Baba mcheshi asema ‘Kicheko ni dawa bora zaidi’

Share This:

Video ya mwanaume raia wa Irish aliyekuwa akibanwa na kicheko kila mara anapojaribu kurekodi ujumbe wa siku ya kuzaliwa wa mtoto wake wa kiume imesambaa.

Vincent McDonnell alikuwa anatuma ujumbe kwa ajili ya mwanae David, ambaye alikuwa anasheherekea miaka 40 huko nchini Australia.

#bbcswahili #Australia #furaha

Leave a Comment