Share

Baiskeli ya walemavu inayoendeshwa kwa simu

Share This:

Kutana na mwanafunzi Zulfa Hassan, wa chuo cha ufundi Arusha Tanzania. Amebuni baiskeli ya walemavu inayoongozwa na simu ya kiganjani. Video na Veronica Natalis.DW Kurunzi

Leave a Comment