Share

BASHE AWAHAMASISHA TABORA KULIMA KOROSHO “SOKO LA KOROSHO LINA UHAKIKA”

Share This:

Naibu waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka viongozi wa mikoa na Halmashauri wanapohamasisha wananchi kupanda miti wapande mti yenye manufaa kiuchumi

Akufungua kikao cha hamasa ya kilimo cha Korosho wilayani Nzega ametumia nafasi hiyo kumtaka mkuu wa wilaya hiyo kuziagiza halmashauri za mji na wilaya kupanda miche 30 kwa kila shule za Msingi na Sekondari itakayoziwezesha kiuchumi “Hii itazisaidia shule za msingi na sekondari kuwa na uhakika wa mapato ndani ya miaka mitatu na Lengo la nchi ni kufikisha Korosho tani milioni moja”Hussein Bashe

Leave a Comment