Share

BBC MITIKASI LEO JUMATATU 16.09.2019

Share This:

Na Zawadi Mudibo…Gharama ya mafuta yapanda kwa kiwango cha juu kuwahi kushuhudiwa katika miezi minne baada ya mashambulio dhidi ya vituo vya mafuta Saudi Arabia. Na, Rais wa Tanzania John Magufuli azindua mtambo wa rada za kuongoza ndege za kiraia nchini Tanzania, huku maafisa wa serikali za Uganda na Rwanda wakifanya mazungumzo ili kujaribu kusitisha mzozo baina ya nchi hizo bili.

Leave a Comment