Share

BILA WOGA: SINGIDA WATU WANAISHI CHINI YA MAWE MAKUBWA “KAMA MWANZA, HATUOGOPI”

Share This:

Hapa ni Singida na huu ni muonekano wa baadhi ya maeneo ambayo watu wanaishi na nyumba zao wamejenga chini ya mawe makubwa ambayo yanapatikana mkoani huko na baadhi ya watu wamesema kwamba mawe hayo wameyakuta na hayajawahi kubadilika

Leave a Comment