Share

Bobi Wine ayapinga matokeo ya uchaguzi ya mapema

Share This:

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amedai ushindi katika uchaguzi wa rais, na kutupilia mbali matokeo ya awali yanayomuonyesha rais Yoweri Museveni akiongoza kwa tofauti kubwa. #Kurunzi

Leave a Comment