Share

BODI YA BASATA WAFANYA MKUTANO NA WASANII KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI NA KUZITATUA KWA PAMOJA

Share This:

Wasanii na Wadau Wa sanaa wamefanya kikao cha Mwaka cha Wasanii na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Sanaa Taifa, kinachofanyika Ijumaa hii, 25/09/2020 katika ukumbi wa BASATA.

Lengo la kikao hiki ni kujenga Uelewa na Ushirikiano wa pamoja kiutendaji katika kuendeleza Tasnia ya Sanaa Tanzania.

Leave a Comment