Share

CHATO: BAADA YA KUSIMAMA KWA MIAKA 15, HATIMAYE MELI KUREJEA BANDARI YA NYAMIREMBE

Share This:

Hatimae Bandari ya Nyamirembe iliyopo Chato mkoani Geita
iliyokuwa imesitisha huduma zake tangu mwaka 2004 kutokana na
changamoto mbalimbali inatarajia kuanza shughuli zake hivi karibuni baada ya ukarabati wa Gati uliofanywa chini ya Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA)

Leave a Comment